Uandishi wa Habari, upigaji picha na uhariri kwa Kutumia Simu Yako

10 week
13 Lessons
126 Enrolled
(27 Ratings)

Course Overview

Maelezo ya Kozi:
Katika dunia ya teknolojia inayokua kwa kasi, simu za mkononi zimekuwa zana muhimu katika uandishi wa habari. Kozi hii itawezesha wanafunzi kuelewa na kutumia simu zao katika upigaji picha, uandaaji wa video, na uandishi wa sauti. Pia, itakazia jinsi ya kuhariri na kuwasilisha taarifa kwa kutumia programu mbalimbali za simu.

Mafunzo yatakayopatikana:

  1. Upigaji Picha kwa Kutumia Simu: Maelezo ya msingi ya upigaji picha na simu.
  2. Vitu vya Kuzingatia Wakati wa Kupiga Picha: Taa, umbali, na maandalizi ya kupiga picha.
  3. Jinsi ya Upigaji Picha: Kupanga na kutumia kamera ya simu.
  4. Umbali Katika Upigaji Picha: Kuzingatia umbali kwa matokeo mazuri.
  5. Vifaa vya Kuzingatia Katika Kupiga Picha: Kuchagua vifaa kama tripod na lensi.
  6. Zifahamu Programu za Kutumia Wakati wa Kupiga Picha: Kutumia Snapseed, Lightroom, na VSCO.
  7. Jinsi ya Kurekodi Video Kwa Kutumia Simu: Maelezo ya msingi ya uandaaji wa video.
  8. Uhariri wa Video (Video Editing) kwa Kutumia Programu za Simu: Kutumia iMovie, Adobe Premiere Rush, na Kinemaster.
  9. Vifaa Vinavyotumika Wakati wa Kurekodi Video kwa Kutumia Simu: Kuchagua vifaa sahihi kwa uandaaji wa video.
  10. Programu Nyepesi za Kuhariri Video Ndani ya Simu Yako: Uelewa wa programu rahisi za uhariri wa video.
  11. Vitu vya Kuzingatia Wakati wa Kurekodi Sauti: Maandalizi na mazingira sahihi ya kurekodi sauti.
  12. Mbinu bora za Uhariri wa Sauti (Audio): Uhariri wa sauti kwa kutumia programu za simu.

Lengo la Kozi:
Wanafunzi watakuwa na uwezo wa kuzalisha taarifa za habari zenye ubora wa juu kwa kutumia simu zao. Watajifunza jinsi ya kuzalisha picha, video, na sauti zenye ubora, na jinsi ya kuhariri na kuzipanga kwa kutumia programu za simu.

Kwa nini Ujiandikishe?:
Kama unataka kuwa mwandishi wa habari wa kisasa anayeweza kufanya kazi kwa kutumia simu yake, kozi hii ni muhimu kwako. Jisajili sasa na anza safari yako ya uandishi wa habari wa kidigitali!

User Avatar

Click Institute

45 Reviews
305 Students
4 Courses
5.0
27 ratings
5 stars
100%
4 stars
0%
3 stars
0%
2 stars
0%
1 stars
0%

29 Reviews

  1. Muhibu Kamlete

    Disemba 5, 2023

    Thank you

  2. Mario

    Disemba 8, 2023

    Nashukuru sana kwa mafunzo yenu

  3. Furahisha Hekima Nundu

    Disemba 15, 2023

    Nashukuru kwa kozi hii muhimu naamini itasaidia katika kukuza tasnia na ubira wa Habari

  4. User Avatar

    Said Sindo

    Disemba 17, 2023

    Niwashukuru sana the Click Institue kwa mafunzohaya. Yameniongezea umahiri katika uandishi wangu wa habarihasa kwa kutumia simu janja. Asante Mwalimu Suedi, sitokuangausha.

  5. User Avatar

    Nasra Denis

    Januari 25, 2024

    Hongera sana mwalimu ,hakika masomo ni mazuri sana nimeongeze ujuzi WA kutumia simu Katika kuchukua matukio na kuhariri

  6. Alodia Dominick

    Januari 26, 2024

    Nashukuru sana mafunzo ni mazuri

  7. Alodia Dominick

    Januari 26, 2024

    Nashukuru sana mafunzo ni mazuri
    Ila yaingie kwa udani zaidi ili tuweze kupata uelewa mpana

  8. Alodia Dominick

    Januari 26, 2024

    Nashukuru sana mafunzo ni mazuri, nimefurahi kupata uelewa wakati wa kupiga picha vitu vya kuzingatia, taa, umbali na kufanya maandalizi ya kupiga picha. Lakini pia jambo jingine kwenye kupiga picha lazima uchague ni vifaa gani utavitumia mfano, tripod na lensing.
    Kuna kitu kingine ambacho nimeelewa kuwa wakati wa kupiga picha kuna program zinatumika kama snapped, right room na visco
    Katika kuhariru video unatumia Adobe premier, rush na Kinemaster.

  9. Angela Batuli Sebastian

    Januari 26, 2024

    Masomo ni mazuri wakati mwingine naomba yaeleze kwa undani zaidi,ninejifunza namna ya kupiga picha kwa kutumia camera ya simu,kuzingatia umbali ili kuleta matoke mazuri,kurecodi video kwa kutumia simu maelezo ya msingi,kuandaa vifaa sahii unapotaka kuchukua video na kuzifahamu program za kutumia wakati wa kupiga picha.

  10. User Avatar

    Veronica Mrema

    Januari 27, 2024

    Kozi ilikuwa nzuri sana.

  11. Rabia Nandonde

    Januari 27, 2024

    Mafunzo ni mazurii mnooo

  12. User Avatar

    Pendo Laizer

    Januari 27, 2024

    Kozi ilikuwa nzuri

  13. User Avatar

    Pendo Laizer

    Januari 27, 2024

    Kama ikiwezekana tukutane wote ana kwa ana tuisome kozi zaidi

  14. Asiyejulikana

    Januari 27, 2024

    Course nzuri sana asanteni wakufunzi

  15. ASIA KILAMBWANDA

    Januari 27, 2024

    Kuelewa namna mzuri ya upigaji picha kwa kutumia simu.

  16. User Avatar

    Anjela Sebastian

    Januari 28, 2024

    Asante kwa mafunzo mazuri nimetoka na jambo nimejifunza namna ya kutumia vifaa mbalimbali wakati ninapotumia simu yangu kurecodi video au kupiga picha mfano tripod na attachment,mambo ya kuzingatia wakati narecod sauti kwa kutumia simu ,orientation namna gani unapiga picha,landscap yaani mlalo ili kuweza kuchukua tukio kwa ukubwa au wingi na Potrate kuchukua kwa useful zaidi na mengine mengi.

  17. Sophia kingimali

    Januari 30, 2024

    Asante mwl kwa mafunzo haya ni mazuri

  18. Khalphani Bakari

    Julai 5, 2024

    Thanks

  19. User Avatar

    Asha Kazambo

    Julai 9, 2024

    Nashukuru kwa mafunzo mazuri ambayo yanatujenga sisi kama waandishi wa habari katika kuhakikisha vifaa tunavyovitumia katika tasnia yetu ya uandishi wa habari vinafanya kazi kwa usahihi ili kufikisha maudhui kwa jamii kama yalivyokusudiwa.

  20. Lukia Chasanika

    Julai 16, 2024

    Kuhariri picha na upigaji wa picha pamoja na kurekodi video

  21. mary sanyiwa

    Julai 17, 2024

    upigaji picha kwa kutumia simu

  22. User Avatar

    Arodia Peter

    Julai 19, 2024

    kozi hizi ni nzuri, zinatuongezea uelewa wa mambo mengi kuhusu namna ya kuandika, kupiga picha na kuhariri picha.

  23. User Avatar

    Arodia Peter

    Julai 19, 2024

    kozi zote nzuri

  24. User Avatar

    FARIDA MANGUBE

    Agosti 7, 2024

    Kozi nzuri

  25. User Avatar

    Hadija Omary

    Septemba 3, 2024

    Somo zuri Sana limenikumbusha vitu vingi

  26. 📏 You have received 1 email № 262. Go > https://telegra.ph/Go-to-your-personal-cabinet-08-26?hs=718ebb58ef6bd0f9e99b51a8522b1d33& 📏

    Novemba 5, 2024

    g6bh7m

  27. Dawna

    Novemba 14, 2024

    Hi there! Do you know if they make any plugins to assist
    with SEO? I’m trying to get my website to rank for
    some targeted keywords but I’m not seeing very good gains.
    If you know of any please share. Cheers! I saw similar
    text here: Bij nl

  28. funny st.louis cardinal pictures

    Novemba 15, 2024

    In addition to therapy and remedy, support teams can present people with persona disorder a chance to connect with others who’ve comparable experiences.

  29. sugar defender ingredients

    Novemba 17, 2024

    sugar defender ingredients
    For many years, I have actually battled unpredictable blood
    sugar level swings that left me really feeling drained
    and lethargic. But because integrating Sugar my energy degrees are now steady and regular, and I no longer hit a wall in the mid-days.
    I value that it’s a gentle, natural technique that doesn’t featured any unpleasant side
    effects. It’s really changed my life.

Add a review