KARIBU CLICK INSTITUTE

Kozi Bure kwa waandishi wa habari na Afisa Mawasiliano.

Karibu kwenye tovuti ya mafunzo bora kwa waandishi wa habari na maafisa wa mawasiliano. Tunatoa kozi za bure kwa Kiswahili zikilenga kukusaidia kufikia ufanisi mkubwa katika tasnia yako. Jiunge nasi. Mafunzo Bora, Fursa Bila Kikomo.

Tazama Kozi Mpya

Hizi ni kozi zetu bora zinazotolewa kwa ajili yako. Zimechaguliwa kwa umakini kutokana na umaarufu, ubora wa mafunzo, na matokeo mazuri ya wanafunzi wetu.

Maoni ya Wanafunzi Wetu

Soma kile wanafunzi wetu wanachosema kuhusu kozi zetu. Maoni haya yanatoka kwa wanafunzi halisi waliopata mafunzo kutoka kwetu, na yanakupa mwanga wa jinsi mafunzo yetu yanavyobadilisha maisha na kusaidia kukuza taaluma zao.

Taarifa & Vidokezo vya muhimu

Mara kwa mara tuna taarifa na vidokezo vya muhimu kwa waandishi wa habari na afisa mawasiliano. Tembelea tovuti yetu mara kwa mara kuona nini kipya tumekuandalia.